SIJALEWA LEO

MARCO CHALI FOUNDATION - SIJALEWA LEO

Wimbo mpya wa MARCO CHALI FOUNDATION unaitwa SIJALEWA LEO, MARCOCHALI FOUNDATION na ZANTEL imeanzisha EPIC OPEN MIC kwa nia ya kusaidia vipaji vya wasanii wachanga, na mpaka sasa imefanikisha round ya kwanza ambayo ilipata wasanii 28 waliofanya vizuri. Lakini walioimba kwenye wimbo huu (SIJALEWA LEO) ni baadhi ya wale washiriki 28 walipatikana kwenye ROUND YA KWANZA ya EPIC OPEN MIC ambao ni Jackson Michael (VanStar), Amiri (Amiri), Kulea Richard (Kulea), Scovia Derick (Unique), De'Cypha Simon (DeCypha). Tunategemea ushirikiano wako kusaidia vijana hawa kufika sehemu nzuri kimziki.

Sikiliza Hapa.

 

 

 


 
     

Home
About Us
News & Events

Contact

Masaki, Dar-es-Salaam.
Tanzania
info@marcochalifoundation.co.tz
Mail US